Search

53 results for Masoud Masasi :

  1. Cosmopolitan mpo! Hebu wasikieni hawa wajeda

    WAKATI Rhino Rangers ikijiandaa kuwakabili Cosmopolitan kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), kocha wa timu hiyo, Athumani Bilali ‘Bilo’ amesema anawajua vizuri wapinzani wao na...

  2. Pamba Jiji hesabu kali mechi tatu Championship

    STAA wa Pamba Jiji, Michael Samamba amesema kwa namna Ligi ya Championship ilivyo na upinzani kwa sasa kinachotakiwa kwao ni kuhakikisha wanapata ushindi katika mechi nne zilizobaki za mzunguko...

  3. Kipa Dodoma Jiji apagawa kucheza mechi ya kwanza Ligi Kuu

    BAADA ya kucheza kwa mara ya kwanza akiwa na kikosi cha Dodoma Jiji, Kipa Mohamed Hussein Mohamed amekiri amekuwa na furaha sana kwa kuwa alikuwa akitamani siku moja aweze kukaa golini kuitumikia...

  4. Timu 13 kukiwasha kumsaka bingwa wa mkoa wa Simiyu

    KUMEKUCHA, timu 13 zinatarajia kukiwasha kumsaka bingwa wa Ligi Daraja la Tatu mkoa wa Simiyu inayotarajia kupigwa kesho jumamosi Novemba 11 ambapo mashindano haya yamepangwa makundi matatu...

  5. Makata awashtukia Mbeya City, kuwakabili Championship

    KOCHA wa Pamba Jiji, Mbwana Makata amekiri mechi tatu mfululizo walizopoteza Mbeya City zitafanya mchezo wao wa Championship utakaopigwa Ijumaa Novemba 10 kuwa mgumu na wanatakiwa kupambana sana...

  6. Mbogo: Awapa mbinu mastaa Simba

    BEKI wa zamani wa Yanga, Ladslaus Mbogo ameangalia kasi na ubora wa Maxi Nzengeli,Azizi KI na Pacome Zouzoua waliokuwa nao kwa sasa ambapo amekiri wazi kuwa mabeki na viungo wakabaji wa Simba...

  7. Kipa Dodoma Jiji afichua siri yake na Medo

    KOCHA wa Dodoma Jiji,Melis Medo mpaka sasa ameshafundisha timu tatu Ligi Kuu tangu ametua hapa nchini, lakini kipa Mohamed Husein Mohamed ambaye amekuwa akiambatana na mmarekani huyo amesema siri...

  8. Mechi 5 Ligi Kuu zampa mzuka Manyasi, ajipanga tena

    BAADA ya kucheza mechi tano za Ligi Kuu msimu huu, kiungo wa Ihefu, Geofrey Manyasi amesema malengo yake msimu huu ni kuwa katika kiwango bora ambacho kitamfanya aweze kucheza michezo yote 30 ya...

  9. Copco FC wanogewa na ushindi Championship, Kotecha awatuliza Mwanza

    NAHODHA wa Copco FC,Rajesh Kotecha amesema bado mambo mazuri yanakuja Championship sasa wanachokitaka ni kupambana na kuhakikisha mechi zijazo watakazocheza wanapata ushindi na kutoka mkiani...

  10. Alliance yataka pointi sita ugenini

    WAKATI mashindano ya First League yakianza Oktoba 21, Kocha wa Alliance FC, Atugo Manyundo amesema anahitaji pointi sita katika michezo miwili mfululizo watakayocheza ugenini kwenye kundi lao...

Page 1 of 6

Next